×
Admin 01 August, 2024

Kesi ya Daudi Mwangosi

Kwa Wale watu ambao wamesahau kuhusu tukio hili, Daudi Mwangosi aliuawa Septemba 2, mwaka 2012 katika kijiji cha Nyololo, wilaya ya Mufindi wakati akiwa kwenye majukumu yake ya kazi.

Learn More →
Admin 01 August, 2024

Kesi ya kuruhusu Mahabusu kupiga kura

Tarehe 28/10/2020 Kama Mnakumbuka ulikuwa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Bahati Mbaya Tito na John Tulla walikosa haki ya kupiga kura kutokana na kuwa mahabusu, Tarehe 2/3/2023 walifungua kesi Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam, kupinga wafungwa kutokupiga kura kwenye chaguzi za serikali.

Learn More →
Admin 01 August, 2024

KESI MAARUFU YA MCH. CHRISTOPHER MTIKILA KUHUSU MGOMBEA BINAFSI.

Mwaka 1993 Mchungaji Christopher Mtikila alifungua shauri la kikatiba Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma, kupinga sharti la mgombea wa uongozi kudhaminiwa na chama cha siasa na akapewa ushindi wa mahakama kuu kutamka kifungu hiko ni batili.

Learn More →
Admin 01 August, 2024

Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Bw. Ditopile Mzuzuri dhidi ya Jamhuri

Moja ya Kesi iliyotikisa Fani ya Sheria, katika utoaji Haki, ni Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Tabora (2006) Bw. Ditopile Mzuzuri (60), kumpiga risasi dereva wa daladala, Bw. Hassan Mbonde (33) maeneo ya kawe jiji Dar es salaam.

Learn More →
Admin 01 August, 2024

Kesi ya Jamhuri dhidi ya Sultan Maginga

Hii ni kesi maarufu ya jinai(kuua bila kikusudia kesi ya Mwaka 1969) Sultan aliua mtu akidhani ni nguruwe Pori, Bwana Sultan Maginga Alishtakiwa kwa kesi ya kumuua MTU kwa mkuki usiku wakati akilinda shamba lake, ulikuwa wakati wa Usiku Sultan alisikia kelele zikitoka kwenye shamba lake akihisi ni nguruwe kumbe in watu walikua wakifanya mapenzi shambani kwake.

Learn More →

Subscribe Us

Enter your email below to join our community of clients and legal professionals who trust us to provide valuable information straight to your inbox.